Mahakama \ HISTORIA YA MAHAKAMA YA BIASHARA
Muundo wa Mahakama ya Biashara * Watumishi Mahakama ya Biashara ilianza shughuli zake ikiwa na waheshimiwa Majaji Watatu, Masajili na Naibu Msajili
Pamoja na viongozi hawa kulikuwa na watumishi wa kada mbali mbali thelathini na nne jumla ya viongozi na watumishi waanzilishi ilikuwa thelathini na tisa.