Courts \ Resident Magistrates Court
1.0 Mamlaka ya Mahakama
- Kutekeleza mamlaka yake ndani ya maeneo yaliyobainishwa na sheria iliyoianzisha.
- Kusikiliza mashauri ya uchaguzi wa madiwani, jinai, madai, ndoa na talaka, kuasili mtoto aliye ndugu, mapitio, marejeo na kufanya uchunguzi wa awali wa mashauri ya jinai yanayosikilizwa na Mahakama Kuu.
- Kusikiliza madai yasiyozidi Shs. 200,000,000/=.
- Kusikiliza madai ya kibiashara yasiyozidi Sh. 30,000,000/=