Courts \ High Court Commercial Division
Mahakama ya Biashara kwa mujibu wa kanuni ya tasjili ya Mahakama Kuu ( High Court Registry Rules) ,iliyoundwa kwa mujibu wa sheria ya usimamiaji wa haki na matumizi ya sheria ( The Judicial and Application of Law Ordinance) ya mwaka 1992. Mahakama hii ilianzishwa Rules), inayoundwa kwa mujibu Septemba 1999, baada ya sheria hizo kufanyiwa marekebisho. Shughuli za Mahakama ya Biashra zilianzia katika jengo la kupanga katika mtaa wa Maweni nyumba namba 321 Upanga Dar es Salaam. Jengo hilo ni mali ya Wakfu wa African Muslim Agency na linamilikwa na Aljabry Rela Estate Agency. Tarehe 29 mwezi Janauri 2001 shughuli za Mahakama hii zilihamia katika Jengo la Kivukoni (Kivukoni Front) baada ya kufanyiwa ukarabati mkubwa kwa msaada wa serikali ya Denmark.